DIRA YA ZATU(Vision)

  • ZATU inalenga kuwa chama makini kitakachopigania hali za walimu na kuhakikisha kuwa hadhi yao inalindwa pamoja na kuona kuwa ubora wa elimu unakuzwa.AZMA YA ZATU (Mission)

  • Kuwaunganisha Walimu kutoka maeneo yote Serikalini hadi kwenye sekta binafsi.
  • Kuwawakilisha walimu kwenye vyombo vya kutoa maamuzi yanayowahusu Walimu wa Zanzibar.
  • Kuwaunganisha Walimu na Vyama vya wafanyakazi vya kitaifa na Kimataifana vya vyengine vya mfano wake.