Dk Shein akisalimiana na rais wa chama cha walimu Tanzania (cwt)
Dk shein akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa chama cha walimu Zanzibar
wanachama wa chama walimu Zanzibar wakipiga kura kuchagua viongozi wao


KARIBUNI KATIKA MTANDAO WETU

Falsafa ya maisha imeshatuthibitishia ya kuwa maisha ni kazi,na kazi ni maisha. Mazingira sambamba na miili yetu vinatuthibitishia hilo. Vyama vya wafanyakazi ni miongoni mwa taasisi kuu duniani pengine ni baada ya zile za siasa na mchezo wa mpira wa miguu.

Kama ilivyo kwa taasisi za siasa na za mpira wa miguu ambapo sehemu Fulani ya dunia taasisi hizo zina nguvu za fedha, utaalamu na mwamko wa hali ya juu kwa wanataasisi wake kinyume na baaadhi ya sehemu fulani ya dunia hii hii , ndivyo na taasisi za wafanyakazi zilivyo. Sisi wazanzibari ni mfano mzuri wa sehemu ya dunia ambapo vyama vya wafanyakazi vipo lakini vinakosa uwelewa wa wafanyakazi wenyewe na kwa maana hiyo vinakosa uimara wa utendaji wake kazi.more...